Blog/swahili

Baada ya kuenjoy out iliyofanyika Mesarani park Arusha sasa ilikuwa ni interview baina ya watu walio hudhuria na watoto wote. Na haya yalikuwa baadhi ya matukio. Full interview ipo Instagram na YouTube (meandorphanstz_org)

2025-02-19 10:01 03 PM

Tukio la mtoko wa valentine tarehe 15. Tukiwa na watoto yatima ambao wanaishi na kuelewa na kituo cha TRUE HEART ORPHANAGE ambacho kipo Morombo Arusha

2025-02-19 09:36 25 PM